![](/rp/kFAqShRrnkQMbH6NYLBYoJ3lq9s.png)
Homepage - HabariLeo
Za Karibuni Elementor #70058 Dk Biteko ashiriki uapisho wa Rais Duma Boko “Mshindi atangazwe, Tamisemi msipendelee” PMAYA 2024:…
Rais Samia kuhudhuria mkutano AU - HabariLeo
19 hours ago · Rais Dk Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi Addis Ababa nchini Ethiopia kuanzia leo hado Februari 16, kushiriki Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU). Taarifa ya Ikulu imesema mkutano huo unatarajia kuchagua Mwenyekiti Mpya wa Umoja wa ...
Jifunze Kiswahili - HabariLeo
1 day ago · HadithiMeaning:”Hadithi” means story or narrative. It can refer to any tale or account of events, whether factual or fictional. In certain contexts, it can also mean history or anecdote.Origin:The word “hadithi” comes from Arabic, where it means saying or narration, which is then adopted into Swahili with the same meaning.How to use:Sentence example: “Hadithi ya kale inavuma sana ...
Barrick yachangia tril 3.6/- Serikalini miaka 4 - HabariLeo
18 hours ago · Dk Ngido ameelezea kuwa, kwa mujibu wa takwimu za miaka minne kuanzia mwaka 2020 hadi 2024, Kampuni Barrick imewekeza zaidi ya dola bilioni 4.24 (Tsh trilioni 11) katika shughuli zake ndani ya nchi, huku dola bilioni 1.5 (Tsh trilioni 3.6) zikilipwa serikalini kupitia kodi, mrabaha, na tozo mbalimbali.
Jifunze Kiswahili - HabariLeo
3 days ago · HabariMeaning in English: “Habari” means “news” or “information” in English. It is a general term for any type of news, update, or information about something.Origin: The word comes from the Arabic word “خبر” (khabar), which means “news” or “information.”Usage: It is often used in everyday greetings or when asking for someone’s news.Example: “Habari ya leo ...
Makandarasi walipwa Sh bil 254/- utekelezaji miradi ya barabara
4 days ago · DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema serikali imelipa takribani Sh bilioni 254 ndani ya miezi miwili kwa wakandarasi mbalimbali wanaotekeleza miradi ya barabara na madaraja nchini baada ya maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan. Ulega ameyasema hayo jijini Dodoma mara baada ya ...
Tanzania Archives - HabariLeo
REA yaanza kusambaza mitungi ya gesi 13,020 Mkoani Songwe. Na Mwandishi wetu. Febuari 12, 2025
Ulega atoa miezi mitatu daraja Lukuledi likamilike - HabariLeo
Jan 11, 2025 · WAZIRI wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi M/s China Railway 15 Bureau Group Cooperation anayejenga Barabara ya Nachingwea-Ruangwa-Nanganga (KM 106), kukamilisha ujenzi wa daraja la Lukuledi.. Agizo hilo amelitoa leo wakati akikagua Barabara na Madaraja katika barabara hiyo na kusisitiza kuwa fedha zipo hivyo ni wajibu wa mkandarasi kuongeza kasi ili wana Ruangwa na ...
Biteko akemea ubabe Tanesco, ataka hatua - HabariLeo
Feb 6, 2025 · NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekerwa na baadhi ya watoa huduma katika kituo cha huduma kwa wateja cha Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kwa kuwa wanasababisha malalamiko kwa wananchi. Dk Biteko amesema hayo wakati wa kikao cha tatu cha tathmini ya uendaji kazi wa taasisi ...
Samia: Tutaendeleza majadiliano ya kisiasa - HabariLeo
Jan 15, 2025 · DAR ES SALAAM; RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, serikali itaendeleza majadiliano ya kisiasa na kuwajuza wanadiplomasia wote kila kitu kinachoendelea wakati wote wa kipindi cha uchaguzi ili kuwafanya kupata taarifa rasmi na sahihi na sio taarifa za uongo.