KIPIGO cha bao 1-0 ilichopata Liverpool kutoka kwa Galatasaray kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, kimeongeza maumivu mara mbili ...
Zoezi la ufungaji taa katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Dar es Salaam limekamilika jana Septemba 30, 2025.
MECHI tisa za Ligi ya Mabingwa Ulaya zimechezwa usiku wa Septemba 30, 2025 huku kukiwa na matokeo ya kushangaza ikiwamo ...
MECHI tatu ilizocheza Coastal Union, ikifungwa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma, ikipoteza kwa mabao 2-1 dhidi JKT Tanzania na ...
ALIYEKUWA kocha wa Benfica, Bruno Lage, amefichua sababu za klabu hiyo kushindwa kumsajili Joao Felix kutoka Chelsea wakati ...
BAADA ya msimu wa 2024-2025, KVZ kumaliza nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), kocha wa timu hiyo, Ali ...
WINGA wa zamani wa Manchester United, Antony, ametoa malalamiko kuhusu namna alivyotendewa vibaya wakati akiwa sehemu ya ...
MSHAMBULIAJI wa Tanzania Prisons, Jeremiah Juma amesema kitendo cha makocha kujifunza mbinu mpya kila wakati, kumeleta ...
SIKU zote, mabadiliko ya jambo au kiuongozi si lazima yanufaishe wale waliopo kwa sasa ndiyo maana huchukua muda mrefu ...
KIPA wa Pamba Jiji, Yona Amos aliyemaliza Ligi Kuu Bara msimu uliopita akiwa na ‘clean sheet’ 11, amesema kuna mambo mengi ...
LIGI ya Mabingwa inaendelea tena kesho lakini macho na masikio yote yatakuwa pale Lluis Companys Olympic Stadium na wenyeji ...
KITENDO cha Simba Queens msimu uliopita kuukosa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara (WPL) uliochukuliwa mikononi ...