Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kikao na baadhi ya makada wa Chadema ...
Mamia ya waumini wa dini ya Kiislamu, viongozi wa Serikali na vyama vya siasa wameungana leo Februari 19, 2025 kuusitiri ...
Kwenye kikao hicho cha Baraza Kuu kilichofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam Januari 22, 2025, Lissu ...
Wafanyakazi wa zamani wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), waliokuwa wamefungua shauri kuomba mapitio ya ...
Kocha wa makipa Yanga, Alaa Meskini ameuomba uongozi kuvunja mkataba na tayari umemkubalia. Dar es Salaam. Wakati hali ikiwa ...
Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Yanga na timu ya taifa ya Burundi, Amissi Tambwe ameajiriwa kuwa meneja wa Singida Black ...
Mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone leo Februari 19,2025 anatarajia kufanyiwa upasuaji wa kongosho nchini Marekani katika ...
Mwalimu huyo amefikishwa mahakamni hapo leo Jumatano, Februari 19, 2025 na kusomewa mashtaka yake na Wakili wa Serikali ...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu wanandoa wanaokabiliwa na kesi ya kusafirisha gramu 41.49 za dawa za kulevya aina ...
Akizungumza na Mwananchi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Pius Lutumo amekiri kufahamu tukio hilo, na kuwa hadi sasa bado ...
Mjumbe wa bodi na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya, Patrick Mwalunenge, akizungumza jambo wakati wa ziara ya ...
Serikali ya Tanzania imeieleza Mahakama bado inaendelea na upelelezi katika kesi ya kusafirisha vinyonga 164, nyoka na mijusi ...