Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akizungumza na waandishi wa habari katika Kijiji cha Msomera, wilayani Handeni mkoani Tanga leo. Picha na Sunday Geoerge Handeni. Serikali ya Tanzania imesema ...
Habari Kitaifa Kimataifa Biashara Makala Michezo Kolamu Hadithi Picha Video Toleo Maalumu Zanzibar Ajira Sokoni Notisi Zabuni Mafumbo MwanaClick Contact us Web Mail ...
Meya wa Jiji la Zanzibar, Kamal Abdulsatar Haji akizungumza na madiwani leo Desemba 23, 2025 katika ukumbi wa Mikutano wa Baraza la Jiji Zanzibar, Michenzani Mall, Mjini Unguja Unguja. Meya wa Jiji la ...
Mstahiki Meya, Sara N'gwani (katikati) akifungua baraza la kwanza la madiwani. Wakwanza kushoto ni Naibu Meya, Kurthum Abdallah na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Ilemala, Ummy Wayayu. Mwanza. Wakati ...
Peter Elias ni mwandishi wa gazeti la Mwananchi mwenye shahada ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma (BA.PSPA) aliyoipata katika Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom). Amepata pia mafunzo ya uandishi wa ...
Waziri wa Maliasili na Utalii,Dk Ashatu Kijaji,akiwa na baadhi ya watalii kutoka nchini Italia,waliopo nchini kutembelea vivutio mbalimbali ambapo jana walitembelea Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, ...
Dar es Salaam. Jana mida flan hivi, mdogo mdogo wakati narudi nyumbani nikiwa natoka zangu Jangwani kupiga kelele na kina Mzize. Nikakumbuka mfukoni sina hata mia, mawazo yakahama kutoka Jangwani hadi ...
Mgombea Urais wa Chama cha Wananchi (CUF),Gombo Sambandito Gombo akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Oktoba 14,2025 Mkoa wa Mbeya.Picha na Hawa Mathias Mbeya. Mgombea urais wa Tanzania ...
Dar es Salaam. Mei Mosi ya mwaka huu imeacha kicheko kwa maelfu ya watumishi wa umma baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza nyongeza ya kima cha chini cha mshahara kwa asilimia 35.1 kuanzia Julai ...
Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania sasa iko tayari kuanza usikilizaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, baada ya kuipangia ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results