Afisa wa zamani katika utawala wa kwanza wa Rais wa Marekani Donald Trump anasema kwamba uungwaji mkono kwa Iran kutoka China na Urusi unaonekana kuwa mdogo baada ya Iran kushambulia majirani zake wa ...
Ukraine inasema inaweza kushiriki utaalamu wake kusaidia kuzilinda nchi za Ghuba zinazoshambuliwa na droni za Iran. Inatarajia kupata nini kwa kufanya hivyo?