Wizara ya Ulinzi ya Uingereza inasema hadi wanajeshi 250,000 wa Urusi wameuawa tangu vikosi vya nchi hiyo vilipoivamia ...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amezungumza na wanahabari mjini Moscow jana Alhamisi baada ya mkutano wake na Rais wa Belarus ...
Ile jeuri ya kukataa masharti ya mabeberu na Benki ya Dunia ikaonekana kama iliyopikwa na manguli wajamaa, wakiwemo Warusi na Wachina. Lakini kumbe hata baadhi ya nchi tajiri zilianzia kwenye ujamaa ...
Kiongozi wa zamani wa kijiji hicho, Mykola Havrylov, alisema alihisi kuvunjika moyo kwamba washirika wa Magharibi wa Ukraine hawajatoa msaada wa haraka wa kijeshi na kidiplomasia huku Warusi wakizidi ...
Lakini vipi kuhusu umma wa Urusi? Zaidi ya miezi mitano, Warusi wanaamini kuwa rais wao alichukua uamuzi sahihi? Katika miji mikubwa, kama vile Moscow na St Petersburg, sio kawaida kusikia watu ...
Hotuba ya Rais Zelensky aliyoitowa kupitia televisheni ilikuwa ikiwalenga Warusi akisema mashambulizi yanayofanywa na nchi hiyo dhidi ya Kiev ni sawa na yale yaliyofanywa na Wanazi wa Ujerumani ...
Watu wasio Warusi pembezeno mwa muungano huo walipewa aina fulani ya uhuru katika masuala ya lugha, utamaduni na uongozi. Hata hivyo, Ukraine ya wakati huu haikuumbwa na Urusi kuwa taifa ...