NEW YORK, MAREKANI: WAKATI wewe unakula ili upoze njaa, kuna watu wengine muda huu wapo bize kufanya kazi yao ambayo ni kula.