Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Mkuu wa wilaya ya Arusha Joseph Mkude (kushoto) akikabidhi tuzo kwa Mkurugenzi wa Mipango, Ubora na Udhibiti Vihatarishi, wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Dk Boniface Nobeji. Arusha.
Morogoro. Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linafanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo cha tukio la kuchomwa moto na kuharibiwa kwa magari mawili katika Wilaya ya Mvomero, tukio lililotokea Desemba 17, ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Kwa ...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti amewataka wanaopanga kuandamana Desemba 9, 2025 kuacha hatua hiyo, akisema wakifanya hivyo watamvunjia heshima ...
Dar es Salaam. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika taarifa kwa vyombo vya habari imesema Serikali imepokea taarifa na matamko kwa umma yaliyotolewa kwa nyakati tofauti na ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Katika ...
Dar es Salaam. Serikali ya Marekani imesema inatathimini kwa kina uhusiano wake na Tanzania, kwa kile inachodai kutoridhishwa na matukio ya ukandamizwaji wa uhuru wa dini na uhuru wa kujieleza nchini ...
Simba kama kawaida imeendeleza moto wake kwenye Ligi Kuu Bara, baada ya kuichapa Mbeya City kwa mabao 3-0 lakini utamu wa ushindi huo ni kiungo Mohammed Bajaber. Ushindi huo wa nne kwenye mechi nne ...
Kocha Mecky Maxime ndiye mrithi rasmi wa Mbeya City ya Mbeya akichukua mikoba ya Malale Hamsini aliyetimuliwa mwanzoni mwa wiki hii. Maxime ambaye amewahi kuzinoa Kagera Sugar na Dodoma Jiji, ataanza ...