Wizara ya Ulinzi ya Uingereza inasema hadi wanajeshi 250,000 wa Urusi wameuawa tangu vikosi vya nchi hiyo vilipoivamia ...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amezungumza na wanahabari mjini Moscow jana Alhamisi baada ya mkutano wake na Rais wa Belarus ...
Alipoulizwa na waandishi wa habari ikiwa Warusi matajiri wanaweza kupata viza hiyo, Trump alijibu: "Ndiyo, inawezekana. Ninawajua matajiri wa Kirusi ambao ni watu wazuri sana." Hata hivyo ...
Mnamo tarehe 4 Machi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, alisema kwamba rais alikuwa akishughulikia "kuwaleta Warusi kwenye meza ya majadiliano". Siku moja baadaye, Marekani ...
Ile jeuri ya kukataa masharti ya mabeberu na Benki ya Dunia ikaonekana kama iliyopikwa na manguli wajamaa, wakiwemo Warusi na Wachina. Lakini kumbe hata baadhi ya nchi tajiri zilianzia kwenye ujamaa ...
Hapa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya wanawake Duniani CSW69 umebakiza siku moja tu kukunja jamvi kesho Machi 21. Wawakilishi wa nchi wanachama wa Umoja wa ...