News

Alihamia huko akiwa mtoto ambapo kisha akawa raia. Inamaanisha kuwa yeye - kama maelfu ya Warusi wengine nchini Ukraine - sasa yuko katika hali mbaya ya kisheria. "Unapoonyesha hati zako ...
Katika siku za hivi karibuni, Warusi wameongeza kwa kiasi kikubwa kasi na ukubwa wa mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani huko Kyiv na miji mingine ya Ukraine. Takriban kila usiku ...
Utafiti uliofanywa na shirika huru la utafiti nchini Urusi unaonyesha kuwa nusu ya waliohojiwa wanaunga mkono usitishaji wa mapigano nchini Ukraine huku asilimia 41 wakipinga. Shirika la Levada ...
Mrepublican Donald Trump amekuwa rais wa Marekani kwa siku 100. Lakini ni ahadi gani ambazo amezitimiza? Na je, Wamarekani wanafikiria vipi kuhusu nchi yao kwa sasa?