Zawadi ya ‘Goli La Mama’ Sh10 milioni ilivyokabidhiwa kwa wachezaji wa Singida Black Stars, baada ya mchezo wa mkondo wa pili wa hatua ya awali Kombe la shirikisho Afrika dhidi ya Rayon Sports ...
Pamba Jiji yabanwa nyumbani PAMBA Jiji jana ikicheza kwa mara ya kwanza mechi y Ligi Kuu Bara ikiwa nyumbani ilibanwa mbavu na Watoza Ushuru wa TRA United baada ya kutoka suluhu kwenye Uwanja wa CCM ...
Pazia la msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2025/26 lilifunguliwa jana kwa mchezo wa Ngao ya Jamii uliozikutanisha miamba ya soka Yanga na Simba.
BAADA ya maswali ya muda mrefu juu ya nani atashinda tuzo ya Ballon d'Or mwaka huu, hatimaye majibu yamepatikana na staa wa Paris Saint-Germain, Ousmane Dembele ameshinda tuzo hiyo. KOCHA wa Simba ...
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA) limekiadhibu Chama cha Mpira wa Miguu Afrika Kusini (SAFA) kwa kosa la kumchezesha Teboho Mokoena katika mechi ya kufuzu Kombe la Dunia 2026 wakati ...
NEW YORK, MAREKANI: WAKATI wewe unakula ili upoze njaa, kuna watu wengine muda huu wapo bize kufanya kazi yao ambayo ni kula. Ndio, inawezekana umeshuhudia mechi nyingi za mpira wa miguu na michezo ...
NEW YORK, MAREKANI: WAKATI wewe unakula ili upoze njaa, kuna watu wengine muda huu wapo bize kufanya kazi yao ambayo ni kula. Ndio, inawezekana umeshuhudia mechi nyingi za mpira wa miguu ...
LONDON, ENGLAND: LIGI ya Mabingwa Ulaya inaendelea leo kwa mechi tisa kupigwa ambapo vigogo wa Hispania Real Madrid, Chelsea, Bayern Munich, Liverpool, Inter Milan na Tottenham Hotspur watakuwa katika ...
Wakati Fadlu akiondoka huku akiiacha Simba ikipambana kumsaka mbadala wake, timu hiyo tayari imecheza mechi mbili, moja ya Ligi Kuu Bara iliyoongozwa na Kocha Msaidizi, Seleman Matola ambapo imeshinda ...
SI umeona kilichotokea wikiendi kwa wawakilishi wetu wa Tanzania kimataifa? Basi majibu ya nani anakwenda kucheza hatua ya makundi yatapatikana wiki ya mwisho ya Oktoba 2025. Ipo hivi; Msimu huu ...
Wimbo ukipendwa Tanzania, ulikuwa unatawala mitaa, redio na klabu mbalimbali na wasanii wengine hadi leo ngoma zao zinafanya vizuri.