Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akizungumza na waandishi wa habari katika Kijiji cha Msomera, wilayani Handeni mkoani Tanga leo. Picha na Sunday Geoerge Handeni. Serikali ya Tanzania imesema ...
Habari Kitaifa Kimataifa Biashara Makala Michezo Kolamu Hadithi Picha Video Toleo Maalumu Zanzibar Ajira Sokoni Notisi Zabuni Mafumbo MwanaClick Contact us Web Mail ...
Mstahiki Meya, Sara N'gwani (katikati) akifungua baraza la kwanza la madiwani. Wakwanza kushoto ni Naibu Meya, Kurthum Abdallah na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Ilemala, Ummy Wayayu. Mwanza. Wakati ...
Peter Elias ni mwandishi wa gazeti la Mwananchi mwenye shahada ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma (BA.PSPA) aliyoipata katika Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom). Amepata pia mafunzo ya uandishi wa ...
Waziri wa Maliasili na Utalii,Dk Ashatu Kijaji,akiwa na baadhi ya watalii kutoka nchini Italia,waliopo nchini kutembelea vivutio mbalimbali ambapo jana walitembelea Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, ...
Mgombea Urais wa Chama cha Wananchi (CUF),Gombo Sambandito Gombo akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Oktoba 14,2025 Mkoa wa Mbeya.Picha na Hawa Mathias Mbeya. Mgombea urais wa Tanzania ...
Dar es Salaam. Mei Mosi ya mwaka huu imeacha kicheko kwa maelfu ya watumishi wa umma baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza nyongeza ya kima cha chini cha mshahara kwa asilimia 35.1 kuanzia Julai ...
Mkuu wa wilaya ya Arusha Joseph Mkude (kushoto) akikabidhi tuzo kwa Mkurugenzi wa Mipango, Ubora na Udhibiti Vihatarishi, wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Dk Boniface Nobeji. Arusha.
Dar es Salaam. Jana mida flan hivi, mdogo mdogo wakati narudi nyumbani nikiwa natoka zangu Jangwani kupiga kelele na kina Mzize. Nikakumbuka mfukoni sina hata mia, mawazo yakahama kutoka Jangwani hadi ...
Mbeya. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya memhukumu kutumikia kifungo cha miaka mitatu nasiku 14 jela, Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuendesha huduma ya kikosi ...