Miaka 37 iliyopita, Mwanamuziki mkenya Teddy Kalanda alitunga Wimbo maarufu kwa jina 'Jambo Bwana' ama 'Hakuna Matata'. Kwake yeye, aliuona wimbo huo kuwa ni wa kawaida kama zilivyo nyingine lakini ...