Alihamia huko akiwa mtoto ambapo kisha akawa raia. Inamaanisha kuwa yeye - kama maelfu ya Warusi wengine nchini Ukraine - sasa yuko katika hali mbaya ya kisheria. "Unapoonyesha hati zako ...
Taasisi ya Utafiti wa Vita (ISW) inasema Warusi walileta mifumo ya silaha ambayo inakisiwa kuwa na nguvu ikifahamika kama thermobaric Sontsepek katika ngome ya mji wa Bakhmut, na wanajeshi wa ...
Afisa mwandamizi wa serikali ya Ukraine amesema, "Hakuna mazungumzo na Warusi yanayopangwa kufanyika mjini Munich nchini Ujerumani." Chombo cha habari nchini Ukraine kiliripoti taarifa iliyotolewa ...